Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Shoes

36 mistari · 23 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Israeli, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Wanawauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu.

  2. mkiwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu, na mkiuza hata takataka za ngano pamoja na ngano.

  3. “Mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba. Lakini nyuma yangu anakuja yeye aliye na uwezo kuliko mimi, ambaye sistahili hata kuvichukua viatu vyake. Yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.

  4. Msichukue mkoba wa safari, wala kanzu mbili, wala jozi ya pili ya viatu, wala fimbo, kwa maana mtendakazi anastahili posho yake.

  5. Yesu akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.”

  6. Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.”

  7. Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.

  8. “Lakini baba yake akawaambia watumishi, ‘Leteni upesi joho lililo bora sana, tieni pete kidoleni mwake na viatu miguuni mwake.

  9. Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”

  10. Yule malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Kisha akamwambia, “Jifunge vazi lako na unifuate.”

  11. nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani.