Mistari ya Biblia kuhusu Shoes: (Taken off,) of an ignominious and servile condition
Mistari kuhusu (Taken off,) of an ignominious and servile condition
Chukua mawe ya kusagia, usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida.
Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu, na koo lako liwe limekauka. Lakini ulisema, ‘Haina maana! Ninaipenda miungu ya kigeni, nami lazima niifuatie.’