Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Wrought Through Servants of God: The sick healed

2 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu The sick healed

  1. Hata wakawa wanawaleta wagonjwa na kuwalaza kwenye magodoro na kwenye vitanda barabarani ili yamkini Petro akipita kivuli chake kiwaguse baadhi yao.

  2. Pia watu wakakusanyika kutoka miji iliyokuwa karibu na Yerusalemu, wakileta wagonjwa na watu walioteswa na pepo wachafu. Hao wote wakaponywa.