Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Wrought Through Servants of God: Hand made leprous
Mistari kuhusu Hand made leprous
Kisha Bwana akamwambia, “Weka mkono wako ndani ya joho lako.” Basi Mose akaweka mkono wake ndani ya joho lake, naye alipoutoa, ulikuwa na ukoma, mweupe kama theluji.