Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Wrought Through Servants of God: Murrain of beasts

4 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Murrain of beasts

  1. mkono wa Bwana utaleta pigo baya kwa mifugo yako, juu ya farasi wako, punda, ngamia, ngʼombe wako, kondoo na mbuzi.

  2. Lakini Bwana ataweka tofauti kati ya mifugo ya Israeli na ile ya Misri, kwamba hakuna mnyama wa Mwisraeli atakayekufa.’ ”

  3. Bwana akaweka wakati na kusema, “Kesho Bwana atalitenda hili katika nchi.”

  4. Siku iliyofuata Bwana akalitenda: Mifugo yote ya Wamisri ikafa, lakini hakuna hata mnyama mmoja wa wana wa Israeli aliyekufa.