Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Wrought Through Servants of God: Waters healed

2 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Waters healed

  1. Kisha akaenda kwenye chemchemi na kuitupa ile chumvi ndani yake, akisema, “Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nimeyaponya maji haya. Kamwe hayatasababisha mauti tena wala kutozaa.’ ”

  2. Nayo yale maji yakaponywa mpaka leo, sawasawa na neno la Elisha alilokuwa amesema.