Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Wrought Through Servants of God: Boils and blains brought

2 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Boils and blains brought

  1. Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Mose akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea miilini mwa watu na wanyama.

  2. Waganga hawakuweza kusimama mbele ya Mose kwa sababu ya majipu yale yaliyokuwa miilini mwao na juu ya miili ya Wamisri wote.