Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Wrought Through Servants of God: Eutychus restored to life

3 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Eutychus restored to life

  1. Paulo akashuka chini, akajitupa juu yake na kumkumbatia, akasema, “Msishtuke, uzima wake bado umo ndani yake.”

  2. Kisha Paulo akapanda tena ghorofani, akamega mkate na kula. Baada ya kuongea mpaka mapambazuko, akaondoka.

  3. Watu wakamrudisha yule kijana nyumbani akiwa hai nao wakafarijika sana.