Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: Of the poorer classes swarthy from exposure to the sun

2 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Of the poorer classes swarthy from exposure to the sun

  1. Mimi ni mweusi, lakini napendeza, enyi binti za Yerusalemu, mweusi kama mahema ya Kedari, kama mapazia ya hema la Solomoni.

  2. Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi, kwa sababu nimefanywa mweusi na jua. Wana wa mama yangu walinikasirikia na kunifanya niwe mtunza mashamba ya mizabibu. Shamba langu mwenyewe la mizabibu nimeliacha.