Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: Subtle and deceitful

2 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Subtle and deceitful

  1. Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki, hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu.

  2. Nimeona jambo lililo chungu kuliko mauti, mwanamke ambaye ni mtego, ambaye moyo wake ni wavu wa kutegea na mikono yake ni minyororo. Mtu ampendezaye Mungu atamkwepa, bali mwenye dhambi atanaswa naye.