Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: Not to be given in marriage considered a calamity

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Not to be given in marriage considered a calamity

  1. Naye akamwambia baba yake, “Naomba nifanyiwe jambo hili. Nipewe miezi miwili ili kuzunguka vilimani nikaulilie ubikira wangu, mimi na wenzangu.”

  2. Moto uliwaangamiza vijana wao, na wanawali wao hawakuimbiwa nyimbo za arusi,

  3. Katika siku ile wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, “Tutakula chakula chetu wenyewe na kuvaa nguo zetu wenyewe, ila wewe uturuhusu tu tuitwe kwa jina lako. Utuondolee aibu yetu!”