Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: From one of Adam's ribs

2 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu From one of Adam's ribs

  1. Hivyo Bwana Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama.

  2. Kisha Bwana Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.