Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: Fond of dress and ornaments

7 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Fond of dress and ornaments

  1. Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”

  2. Katika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,

  3. vipuli, vikuku, shela,

  4. vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,

  5. pete zenye muhuri, pete za puani,

  6. majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha,

  7. vioo, mavazi ya kitani, taji na shali.