Mistari ya Biblia kuhusu Woman: (Wise,) of saints
Mistari kuhusu (Wise,) of saints
“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.
Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara.
lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo.