Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: Punishment for injuring, when with child

4 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Punishment for injuring, when with child

  1. “Ikiwa watu wawili wanapigana na wakamuumiza mwanamke mjamzito, naye akazaa kabla ya wakati lakini hakuna majeraha makubwa, mhalifu atatozwa mali kiasi cha madai ya mume wa yule mwanamke, na jinsi mahakama itakavyoamua.

  2. Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,

  3. jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,

  4. kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, mchubuko kwa mchubuko.