Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Woman: Tender and constant to her offspring

2 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Tender and constant to her offspring

  1. “Je, mama aweza kumsahau mtoto aliyeko matitini mwake akinyonya, wala asiwe na huruma juu ya mtoto aliyemzaa? Ingawa anaweza kusahau, mimi sitakusahau wewe!

  2. Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma wanapika watoto wao wenyewe, waliokuwa chakula chao watu wangu walipoangamizwa.