Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Asher

29 mistari · 21 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Bezeri, Hodu, Shama, Shilsha, Ithrani na Beera.

  2. Wana wa Yetheri walikuwa: Yefune, Pispa na Ara.

  3. Wana wa Ula walikuwa: Ara, Hanieli na Risia.

  4. Hawa wote ndio waliokuwa wazao wa Asheri, viongozi wa jamaa zao, watu bora, mashujaa walio hodari na viongozi maarufu. Idadi ya watu waliokuwa tayari kwa vita, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa 26,000.