Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Tempted by, with questions about the law

4 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Tempted by, with questions about the law

  1. Baadhi ya Mafarisayo wakamjia ili kumjaribu, wakamuuliza, “Ni halali mtu kumwacha mke wake kwa sababu yoyote?”

  2. Ndipo Mafarisayo wakatoka nje wakaandaa mpango wa kumtega Yesu katika maneno yake.

  3. Wakatuma wanafunzi wao kwake pamoja na Maherode. Nao wakasema, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwadilifu na unafundisha njia ya Mungu katika kweli bila kuyumbishwa na mtu wala kuonyesha upendeleo.

  4. Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,