Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Sent officers to apprehend Christ

2 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Sent officers to apprehend Christ

  1. Mafarisayo wakasikia watu wakinongʼona mambo kama hayo kuhusu Yesu, ndipo wao pamoja na viongozi wa makuhani wakatuma walinzi wa Hekalu waende kumkamata.

  2. Hatimaye wale walinzi wa Hekalu wakarudi kwa viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliokuwa wamewatuma ili kumkamata Yesu, wakaulizwa, “Mbona hamkumkamata?”