Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Zealous of tradition

6 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Zealous of tradition

  1. (Kwa kuwa Mafarisayo na Wayahudi wote hawali chakula pasipo kunawa kwa kufuata desturi za wazee wao.

  2. Kwa hiyo wale Mafarisayo na walimu wa sheria wakamuuliza Yesu, “Mbona wanafunzi wako hawafuati desturi za wazee, na badala yake wanakula kwa mikono najisi?”

  3. Yesu akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa: “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

  4. Huniabudu bure, nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’

  5. Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.”

  6. Nami niliendelea sana katika dini ya Kiyahudi kuliko Wayahudi wengi wa rika yangu maana nilijitahidi sana katika desturi za baba zangu.