Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Active in proselytising

1 mstari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Active in proselytising

  1. “Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Ninyi mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja mwongofu, lakini baada ya kumpata, mnamfanya mwana wa jehanamu mara mbili kuliko ninyi!