Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Fond of distinguished titles

4 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Fond of distinguished titles

  1. Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’

  2. “Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu.

  3. Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni.

  4. Wala msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa maana mnaye mwalimu mmoja tu, ndiye Kristo.