Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Left Judea for a time on account of

3 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Left Judea for a time on account of

  1. Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana,

  2. ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake.

  3. Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya.