Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Often sought to destroy Christ

5 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Often sought to destroy Christ

  1. Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumuua.

  2. Wakatafuta njia ya kumkamata, lakini wakaogopa umati wa watu, kwa kuwa watu walimwona Yesu kuwa ni nabii.

  3. Kwa hiyo viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakaita mkutano wa baraza. Wakaulizana, “Tufanyeje? Huyu mtu anafanya ishara nyingi.

  4. Hivyo tangu siku hiyo wakawa wanafanya mipango ili wamuue Yesu.

  5. Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa yeyote atakayejua mahali Yesu aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.