Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Pharisees: Rigid in fasting

2 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Rigid in fasting

  1. Wakamwambia Yesu, “Wanafunzi wa Yohana na wa Mafarisayo mara kwa mara hufunga na kuomba, lakini wanafunzi wako wanaendelea kula na kunywa.”

  2. Mimi nafunga mara mbili kwa juma, na natoa sehemu ya kumi ya mapato yangu.’