Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rain: The appearance of a cloud from the west indicated

2 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu The appearance of a cloud from the west indicated

  1. Mara ya saba, mtumishi akaleta taarifa, “Wingu dogo kama mkono wa mwanadamu linainuka kutoka baharini.” Hivyo Eliya akasema, “Nenda ukamwambie Ahabu, ‘Tandika gari lako na ushuke kabla mvua haijakuzuia.’ ”

  2. Pia Yesu akauambia ule umati wa watu, “Mwonapo wingu likitokea magharibi, mara mwasema, ‘Mvua itanyesha,’ nayo hunyesha.