Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Rain: Removed by prayer

3 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Removed by prayer

  1. “Wakati mbingu zitakapokuwa zimefungwa kusiwe na mvua kwa sababu watu wako wametenda dhambi dhidi yako, watakapoomba kuelekea mahali hapa na kulikiri jina lako nao wakageuka kutoka dhambi zao kwa sababu umewaadhibu,

  2. basi usikie kutoka mbinguni na usamehe dhambi ya watumishi wako, watu wako Israeli. Wafundishe njia sahihi ya kuishi na ukanyeshe mvua juu ya nchi uliyowapa watu wako kuwa urithi.

  3. Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua nayo ardhi ikatoa mazao yake.