Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rain: Occasioned by the condensing of the clouds

4 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Occasioned by the condensing of the clouds

  1. “Yeye huvuta juu matone ya maji, ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito;

  2. mawingu huangusha chini maji yake, nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu.

  3. Mawingu yalimwaga maji, mbingu zikatoa ngurumo kwa radi, mishale yako ikametameta huku na huko.

  4. Kama mawingu yamejaa maji, hunyesha mvua juu ya nchi. Kama mti ukianguka kuelekea kusini au kuelekea kaskazini, mahali ulipoangukia, hapo ndipo utakapolala.