Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rain: Withheld for three years and six months in the days of Elijah

2 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Withheld for three years and six months in the days of Elijah

  1. Basi Eliya, Mtishbi kutoka Tishbi katika Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama Bwana, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninamtumikia, hapatakuwa na umande wala mvua katika miaka hii, isipokuwa kwa neno langu.”

  2. Eliya alikuwa mwanadamu kama sisi. Akaomba kwa bidii kwamba mvua isinyeshe, nayo haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.