Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Night

79 mistari · 42 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.

  2. Ninyi nyote ni wana wa nuru na wana wa mchana. Sisi si wana wa giza wala wa usiku.

  3. Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.

  4. Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana Bwana Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele.