Mistari ya Biblia kuhusu Night: No night in heaven
Mistari kuhusu No night in heaven
Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.
Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana Bwana Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele.