Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Night: Executed his judgments in

4 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Executed his judgments in

  1. “Usiku huo huo nitapita katika nchi yote ya Misri na kumuua kila mzaliwa wa kwanza, wa wanadamu na wa wanyama, nami nitaihukumu miungu yote ya Misri. Mimi ndimi Bwana.

  2. Usiku ule, malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

  3. Vitisho humjia kama mafuriko; dhoruba humkumba ghafula usiku.

  4. Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,