Mistari ya Biblia kuhusu Night: Continued until sunrise
Mistari kuhusu Continued until sunrise
Jua huchomoza, nao huondoka, hurudi na kulala katika mapango yao.
Baada ya Sabato, alfajiri mapema siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kulitazama kaburi.
Asubuhi na mapema, siku ya kwanza ya juma, mara tu baada ya kuchomoza jua, walikwenda kaburini.