Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Night: The moon and stars designed to rule and give light by

4 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu The moon and stars designed to rule and give light by

  1. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.

  2. Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,

  3. itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema.

  4. Hili ndilo asemalo Bwana, yeye aliyeweka jua liwake mchana, yeye anayeamuru mwezi na nyota kungʼaa usiku, yeye aichafuaye bahari ili mawimbi yake yangurume; Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: