Rukia maudhui

circa 1010–970 BC

The Reign of David

David unites the tribes, conquers Jerusalem, and establishes Israel's golden age—even through deep personal failure.

1,230 mistari · 2 vitabu vimehusishwa

Mistari ya kipindi hiki

Chuja kwa kitabu
  1. 1 Nyakati 24:25takriban 1015 KK

    Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia; na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria.

  2. 1 Nyakati 24:26takriban 1015 KK

    Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi. Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno.

  3. 1 Nyakati 24:27takriban 1015 KK

    Wana wa Merari: kutoka kwa Yaazia: ni Beno, Shohamu, Zakuri na Ibri.

  4. 1 Nyakati 24:28takriban 1015 KK

    Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana.

  5. 1 Nyakati 24:29takriban 1015 KK

    Kutoka kwa Kishi: mwana wa Kishi: alikuwa Yerameeli.

  6. 1 Nyakati 24:30takriban 1015 KK

    Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.

  7. 1 Nyakati 24:31takriban 1015 KK

    Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Aroni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.

  8. 1 Nyakati 25:1takriban 1015 KK

    Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii:

  9. 1 Nyakati 25:2takriban 1015 KK

    Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa: Zakuri, Yosefu, Nethania na Asarela. Wana wa Asafu walikuwa chini ya usimamizi wa Asafu, ambaye alitoa unabii chini ya usimamizi wa mfalme.

  10. 1 Nyakati 25:3takriban 1015 KK

    Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana.

  11. 1 Nyakati 25:4takriban 1015 KK

    Wana wa Hemani walikuwa: Bukia, Matania, Uzieli, Shebueli na Yeremothi, Hanania, Hanani, Eliatha, Gidalti na Romamti-Ezeri, Yoshbekasha, Malothi, Hothiri na Mahaziothi.

  12. 1 Nyakati 25:5takriban 1015 KK

    Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.

  13. 1 Nyakati 25:6takriban 1015 KK

    Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.

  14. 1 Nyakati 25:7takriban 1015 KK

    Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288.

  15. 1 Nyakati 25:8takriban 1015 KK

    Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.

  16. 1 Nyakati 25:9takriban 1015 KK

    Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12

  17. 1 Nyakati 25:10takriban 1015 KK

    Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 12

  18. 1 Nyakati 25:11takriban 1015 KK

    ya nne ikamwangukia Isri, // wanawe na jamaa zake, 12

  19. 1 Nyakati 25:12takriban 1015 KK

    ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, 12

  20. 1 Nyakati 25:13takriban 1015 KK

    ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, 12

  21. 1 Nyakati 25:14takriban 1015 KK

    ya saba ikamwangukia Yesarela, // wanawe na jamaa zake, 12

  22. 1 Nyakati 25:15takriban 1015 KK

    ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 12

  23. 1 Nyakati 25:16takriban 1015 KK

    ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 12

  24. 1 Nyakati 25:17takriban 1015 KK

    ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 12

  25. 1 Nyakati 25:18takriban 1015 KK

    ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, // wanawe na jamaa zake, 12