Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Simeon: Bounds of their inheritance with cities and villages

13 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu Bounds of their inheritance with cities and villages

  1. Ulijumuisha: Beer-Sheba (au Sheba), Molada,

  2. Hasar-Shuali, Bala, Esemu,

  3. Eltoladi, Bethuli, Horma,

  4. Siklagi, Beth-Markabothi, Hasar-Susa,

  5. Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.

  6. Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake,

  7. pamoja na vijiji vyote vinavyoizunguka miji hii mpaka Baalath-Beeri (ambayo ndiyo Rama iliyo katika Negebu). Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Simeoni ukoo kwa ukoo.

  8. Waliishi Beer-Sheba, Molada, Hasar-Shuali,

  9. Bilha, Esemu, Toladi,

  10. Bethueli, Horma, Siklagi,

  11. Beth-Markabothi, Hasar-Susimu, Beth-Biri na Shaaraimu. Hii ilikuwa miji yao mpaka wakati wa utawala wa Daudi.

  12. Vijiji vilivyoizunguka vilikuwa Etamu, Aini, Rimoni, Tokeni na Ashani; jumla miji mitano:

  13. pamoja na vijiji vyote kuizunguka hii miji hadi huko Baali. Haya yalikuwa makao yao, nao waliweka kumbukumbu ya ukoo wao.