Rukia maudhui

Shelumiel

5 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Shelumiel

  1. kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai;

  2. Kabila la Simeoni watapiga kambi karibu na Reubeni. Kiongozi wa watu wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Surishadai.

  3. Siku ya tano Shelumieli mwana wa Surishadai, kiongozi wa watu wa Simeoni, alileta sadaka yake.

  4. maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Shelumieli mwana wa Surishadai.

  5. Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni,