Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Simeon: Inheritance of, within Judah

8 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu Inheritance of, within Judah

  1. Kura ya pili ikaangukia kabila la Simeoni, ukoo kwa ukoo. Urithi wao ulikuwa ndani ya eneo la Yuda.

  2. Ulijumuisha: Beer-Sheba (au Sheba), Molada,

  3. Hasar-Shuali, Bala, Esemu,

  4. Eltoladi, Bethuli, Horma,

  5. Siklagi, Beth-Markabothi, Hasar-Susa,

  6. Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.

  7. Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake,

  8. pamoja na vijiji vyote vinavyoizunguka miji hii mpaka Baalath-Beeri (ambayo ndiyo Rama iliyo katika Negebu). Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Simeoni ukoo kwa ukoo.