Skip to content

Hormah

9 verses

30.8800, 34.6300 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Hormah

  1. Ndipo Waamaleki na Wakanaani walioishi katika hiyo nchi ya vilima wakateremka na kuwashambulia, wakawapiga njia yote hadi Horma.

  2. Bwana akasikiliza ombi la Waisraeli, naye akawapa ushindi juu ya Wakanaani. Wakawaangamiza kabisa na miji yao; hivyo mahali pale pakaitwa Horma.

  3. Waamori ambao waliishi katika vilima hivyo waliinuka dhidi yenu, wakawafukuza kama kundi la nyuki wakiwapiga njia yote ya Seiri mpaka Horma.

  4. mfalme wa Horma mmoja mfalme wa Aradi mmoja

  5. Eltoladi, Kesili, Horma,

  6. Eltoladi, Bethuli, Horma,

  7. Basi watu wa Yuda wakaenda na Wasimeoni ndugu zao kushambulia Wakanaani waishio Sefathi, nao wakauangamiza huo mji kabisa. Kwa hiyo huo mji ukaitwa Horma

  8. na kwa wale walioko Horma, Bori-Ashani, Athaki,

  9. Bethueli, Horma, Siklagi,