Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: Efficiency of ministers is through

5 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Efficiency of ministers is through

  1. Mimi nilipanda mbegu, Apolo akatia maji, lakini Mungu ndiye aliikuza.

  2. Hivyo mwenye kupanda na mwenye kutia maji si kitu, bali Mungu peke yake ambaye huifanya ikue.

  3. Apandaye mbegu ana lengo sawa na yule atiaye maji na kila mmoja atalipwa kulingana na kazi yake.

  4. Kwa maana, Mungu aliyekuwa akitenda kazi katika huduma ya Petro kama mtume kwa Wayahudi, ndiye pia aliyekuwa anatenda kazi katika huduma yangu kama mtume kwa watu wa Mataifa.

  5. Nimekuwa mtumishi wa Injili hii kwa kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa nguvu yake itendayo kazi.