Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: The destruction of the wicked

2 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu The destruction of the wicked

  1. Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.

  2. Iweje basi, kama Mungu kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake na kufanya uweza wake ujulikane, amevumilia kwa uvumilivu mwingi vile vyombo vya ghadhabu vilivyoandaliwa kwa uharibifu?