Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: Strengthened by
Mistari kuhusu Strengthened by
Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.
mkiwa mmetiwa nguvu kwa uwezo wote kwa kadiri ya nguvu yake yenye utukufu, ili mpate kuwa na wingi wa saburi na uvumilivu. Nanyi kwa furaha