Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: Long for exhibitions

2 mistari · 51 vipengele

Tafuta "The Power of God"

Mistari kuhusu Long for exhibitions

  1. Zaburi ya Daudi. Wakati alipokuwa katika Jangwa la Yuda. Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, nakutafuta kwa moyo wote; nafsi yangu inakuonea kiu, mwili wangu unakuonea wewe shauku, katika nchi kame na iliyochoka mahali ambapo hapana maji.

  2. Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.