Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: Incomparable

5 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Incomparable

  1. “Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? Ni nani kama Wewe: uliyetukuka katika utakatifu, utishaye katika utukufu, ukitenda maajabu?

  2. Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza.

  3. “Ee Bwana Mwenyezi, umemwonyesha mtumishi wako ukuu wako na mkono wako wenye uweza. Kwa kuwa ni mungu yupi aliye mbinguni au duniani anayeweza kufanya kazi na matendo makuu kama ufanyayo wewe?

  4. Je, una mkono kama wa Mungu, nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake?

  5. Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, ni nani aliye kama wewe? Ee Bwana, wewe ni mwenye nguvu, na uaminifu wako unakuzunguka.