Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: Can save by many or by few

1 mstari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Can save by many or by few

  1. Yonathani akamwambia kijana wake mbeba silaha, “Njoo, tuvukie doria ya wale jamaa wasiotahiriwa. Huenda Bwana atatenda kwa ajili yetu. Hakuna chochote kitakachoweza kumzuia Bwana kuokoa, kwamba ni kwa wingi au kwa uchache.”