Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of God: Great

2 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Great

  1. Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa.

  2. Bwana si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu, Bwana hataacha kuadhibu wenye hatia. Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni vumbi la miguu yake.