Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Priests: Not to drink wine, &c while attending in the tabernacle

2 mistari · 86 vipengele

Mistari kuhusu Not to drink wine, &c while attending in the tabernacle

  1. “Wewe na wanao msinywe mvinyo wala kinywaji kingine kilichochachuka wakati mwingiapo katika Hema la Kukutania, la sivyo mtakufa. Hili litakuwa Agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo.

  2. Kuhani yeyote asinywe mvinyo aingiapo katika ukumbi wa ndani.