Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Priests: Required to remain in the tabernacle seven days after consecration

4 mistari · 86 vipengele

Mistari kuhusu Required to remain in the tabernacle seven days after consecration

  1. Msitoke kwenye ingilio la Hema la Kukutania kwa muda wa siku saba, mpaka siku zenu za kuwekwa wakfu ziwe zimetimia, kwa kuwa muda wenu wa kuwekwa wakfu utakuwa siku saba.

  2. Lile lililofanyika leo liliagizwa na Bwana ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

  3. Lazima mkae kwenye ingilio la Hema la Kukutania usiku na mchana kwa siku saba, na kufanya lile Bwana analolitaka, ili kwamba msife; kwa kuwa hilo ndilo nililoamriwa.”

  4. Kwa hiyo Aroni na wanawe wakafanya kila kitu Bwana alichoamuru kupitia kwa Mose.