Skip to content

Debir

9 verses

31.4100, 34.9600 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Debir

  1. Ndipo Yoshua na Israeli wote wakageuka na kuushambulia Debiri.

  2. Wakauteka mji, mfalme wake na vijiji vyake, na kuupiga kwa upanga. Kila mmoja aliyekuwa ndani yake wakamwangamiza kabisa. Hawakubakiza mtu yeyote. Wakaufanyia Debiri na mfalme wake kama vile walivyokuwa wameifanyia miji ya Libna na Hebroni na wafalme wao.

  3. Wakati huo Yoshua akaenda kuwaangamiza Waanaki kutoka nchi ya vilima: kuanzia Hebroni, Debiri na Anabu, na kutoka nchi yote ya vilima ya Yuda na kutoka nchi yote ya vilima ya Israeli. Yoshua akawaangamiza kabisa pamoja na miji yao.

  4. mfalme wa Debiri mmoja mfalme wa Gederi mmoja

  5. Kutoka hapo akaondoka kupigana dhidi ya watu walioishi Debiri (jina la Debiri hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi).

  6. Dana, Kiriath-Sana (yaani Debiri),

  7. Holoni, Debiri,

  8. Kutoka huko wakasonga mbele kukabiliana na watu walioishi Debiri (ambao hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi.)

  9. Hileni, Debiri,