Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Priests: Clothing with the holy garments

4 mistari · 86 vipengele

Mistari kuhusu Clothing with the holy garments

  1. Walete wanawe na uwavike makoti,

  2. pia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Aroni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Aroni na wanawe.

  3. Walete wanawe na uwavike makoti.

  4. Kisha akawaleta wana wa Aroni mbele, akawavika makoti, akawafunga mishipi na kuwavika vilemba, kama Bwana alivyomwagiza Mose.